kwanza maneno ni wingi wa neno ambalo linamaana ya mkusanyiko wa silabi zinazoleta maana fulani.
mfano: /ba/, /baba/ = baba ( mzazi wa kiume)
kwa hayo maneno ya kiswahili hugawika katika aina 8 ambazo ni:
- nomino(N)
- viwakilishi(W)
- vivumishi(V)
- vitenzi (T)
- vielezi (E)
- viunganishi ( U)
- vihusishi( H)
- vihisishi( I)