Habari zenu ndugu? Nawatakia Kila Heri na fanaka katika mwaka mpya wa 2024!!! Mungu awajalie amani siku zote, Amina
LEARN IT Latest Questions
Habari zenu walimu wapendwa? shikamoo!
0.5%=asilimia sufuri nukta tano 45%=asilimia arubaini na tano 1.15=asilimia moja nukta kumi na tano
1:moja. 6: sita 2: mbili. 7: saba 3: tatu. 8 : nane 4:nne. 9: tisa 5: tano. 10: kumi
1. Makiwa: 2. Hodi : 3 shikamoo:
Methali ina maana sawa na ile isemayo: Utumviye se na nyina yumvira ijeri.
Methali hii kwa Kinyarwanda nisawasawa na ile isemayo kwamba: ushaka inka aryama nkayo.
Pembe za dunia ni kama: kusini( South) Mashariki(East) Magharibi ( West) Kasikazini(Noth)
MAJIRA ni kipindi cha hali hewa kama vile upepo, mvua nyingi, jua kali, … katika mwaka chini Rwanda hugawika katika majira yafuatayo Majira ya masika ambayo hupatikana katika miezi ya Machi, Aprili na Mei. Majiraya Kiangazi huwa katika Juni, Julai, Agosti. Majira ya Vuli ...Read more
kwanza maneno ni wingi wa neno ambalo linamaana ya mkusanyiko wa silabi zinazoleta maana fulani. mfano: /ba/, /baba/ = baba ( mzazi wa kiume) kwa hayo maneno ya kiswahili hugawika katika aina 8 ambazo ni: nomino(N) viwakilishi(W) vivumishi(V) vitenzi (T) vielezi (E) viunganishi ( U) vihusishi( H) vihisishi( I)
kwanza sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo na hisia za binadamu kwa nia ya ubunifu. Kulingana na msanii , ndani ya sanaa panapatikana kazi mbalimbali kama : Uchoraji ambao huhitaji rangi, ubao, karatasi Usonara huhitaji madini, moto hatana nuyundo Fasihi huhitaji lugha au maneno Uchongajo ...Read more
Katika fasihi simuliza tunavyo vipera kama : Ngano, methali, nyimbo, visasili, vitanzandimi, vitendawili, nahau na misemo.n.k.
Katika fasihi Kiswahili nyimbo hugawika katika aina zifuatazo: 1 nyimbo za mapenzi 2. nyimbo za kazi 3. nyimbo za maombelezi 4. nyimbo za kubembeleza watoto 5. nyimbo za siasa 6. na nyimbo za dini.
FASIHI SIMULIZI : Aina hii husimuliwa kupitia mdomo, ni kama vile ngano, nyimbo, visasili na visakale. FASIHI ANDISHI: Aina hii husimuliwa kwa kupitia maandishi, kama vile hadithi ndefu na vitabu.
Fasihi kwa kiswahili: Kazi za sanaa za fasihi ya Kinyarwanda au ya Kirundi au ya Kiingereza zikiandikwa kwa Kiswahili haziwezi kuitwa kazi za fasihi ya Kiswahili. Hili linatokana na kuwa ili kazi ya fasihi iingizwe katika fasihi ya Kiswahili ni ...Read more
Fasihi ni sanaa imulikayo hisia ,mawazo, na malengo ya jamii kwa kutumia lugha.