kwanza sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo na hisia za binadamu kwa nia ya ubunifu.
Kulingana na msanii , ndani ya sanaa panapatikana kazi mbalimbali kama :
- Uchoraji ambao huhitaji rangi, ubao, karatasi
- Usonara huhitaji madini, moto hatana nuyundo
- Fasihi huhitaji lugha au maneno
- Uchongajo huhitaji mti, panga na mawe
- Sinema huhitaji picha , kamera na runinga
- Uhunzi huhitaji moto, chuma na fuawe na nyundo
- Ushonaji huhitaji nyuzi , vitamaa , sindano aou cherehani.